Browsing Category

MAAJABU

Makeja zimechomeka Namba Nane

Wasee area code inaitwa Mashimoni yenye iko namba nane wamebaki na hasara bwaku after makeja zao kuchomeka kuamkia leo. Inasemekana makeja zaidi ya chweza zilichomeka hizo magithaa kumaanisha mafamilia kibao wako homeless. Riba…

Rent zimeanza kushuka kiasi

Inasemekana juu ya Rona, kuna ma landlord wamecheza kama hao na kupunguza rent area codes kadhaa kanairo. Kulingana na Hass Consult Rental Price Index yenye ime releasiwa, ikifikia June ndio marent kibao zime slashiwa. 47% ya matenant…